Home » Articles » EDUCATION |
Entries in category: 15 Shown entries: 1-3 |
Pages: 1 2 3 4 5 » |
Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views
IFAHAMU HISTORIA FUPI YA WANYAMA WAKUBWA WAJULIKANAO KAMA DINOSAUR
Mamilioni ya miaka iliyopita, waliishi wanyama hawa kabla ya kuja kwa binadamu. Wanyama hawa walikuwa ni wakubwa na walikuwa ni katika jamii ya mijusi (reptile).
Dinosaur waliishi duniani na kuwa ndio wanyama wa pekee wenye nguvu kwa zaidi ya miaka milioni 165. Kipindi hicho mabara yalikuwa bado hayajajigawanya na kuwa mabara tofauti kama tuliyonayo hivi sasa, waliishi katika bara moja tu lijulikanalo kama Pangaea Lakini sasa wanyama hawa hawapo tena duniani kwa muda wa miaka milioni 65 sasa. Wanapaleontolojia waligundua mabaki yao katika sehemu ambayo kwa sasa inajulikana kama Argentina na kuyajadili kwa undani zaidi kujua habari ya wanyama hao. Read more .............. |
SIRI YA KINYONGA NA KUBADILISHA RANGI YAKE Kinyonga ni kiumbe aliye katika kikundi cha mijusi (mfano: Mamba, Kenge, mjusi mwenyewe) ambaye ana uwezo wa kubadilisha rangi yake na kuzungusha macho yake kwa mizunguko tofauti, tofauti na wanyama wengine kwamba macho huzunguka kwa kufuatana, Lakini kinyonga na uwezo wa kuzungusha kila jicho upande wake. Read More ...... |
FAHAMU HISTORIA YA KATUNI MAARUFU YA TOM & JERRY
Tom & Jerry ni katuni inayoongoza kwa kupendwa sana hapa ulimwenguni, hata watu wazima hukaa na kuangalia katuni hii na imejipatia umaarufu mkubwa sana mpaka leo hii. Katuni hii ilianzishwa na mmarekani
ajulikanaye kama Fred Quimby ambaye kwa
sasa ni marehemu, Fred Quimby alifariki mwaka 1955. Mtunzi huyu alijitahidi
sana katika utengenezaji wa katuni hawa kuanzia mwaka 1918 Hadi 1955 akiwa
katika studio za animation Metro Goldwyn Mayor (MGM) Ambaye alikuwa
akitengeneza katuni hawa kwa vipande vipande vya video vilivyokuwa vikichukua
urefu wa dakika 5 hadi 8 kwa kila kipande.Read More....... |
EDUCATION |
Views: 2364 |
Author: Yahyou M. Yahya |
Added by: Admin |
Date: 05/Jul/2013
| Comments (0)
|