Home » Articles » WEBSITE DESIGNING

Entries in category: 5
Shown entries: 4-5
Pages: « 1 2

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

SOMO LA PILI:  HTML INTRODUCTION 2

 

Katika somo la kwanza tulijifunza kuhusu HTML na mifano baadhi ya kukuwezesha katika kufahamu juu ya somo hili kabla ya kwenda mbali. Katika somo hili tutaanza sasa kuandika HTML katika program yetu tuliyoielezea hapo mwanzo ambayo ni Notepad.

 

Kumbuka kuwa unapotaka kuanza kuandika website yako, ni vema ukatengeneza kwanza Folder ambalo litatumika katika kuhifadhi website yako humo. Na pia ndani ya folder hilo pia tengeneza folder lingine ambalo kazi yake itakuwa ni kuhifadhi picha zote zitakazotumika katika website yako.

 

Yape majina ambayo unahisi kwako itakuwa ni rahisi kuyakumbuka na pia yaweke sehemu ambayo ni rahisi kwako kuifikia, mfano mdogo tu unaweza kutengeneza folder hilo kwenye Desktop.

WEBSITE DESIGNING | Views: 840 | Added by: Admin | Date: 12/Apr/2013 | Comments (0)

SOMO LA KWANZA:  HTML INTRODUCTION

 

Nini maana ya HTML?

HTML ni lugha inayotumika katika kutengenezea tovuti (web pages).

  • HTML stands for Hyper Text Markup Language
  • HTML is a markup language
  • A markup language is a set of markup tags
  • The tags describe document content
  • HTML documents contain HTML tags and plain text
  • HTML documents are also called web pages

Katika HTML kuna kitu kinajulikana kwa jina la HTML Tags, je nini maana yake? Na hutumiwaje?

Unapotumia html lazima utumie hiki kitu kwani bila ya Html tag huwezi kufanya lolote kwani ndio ufunguo wa lugha hii ya kutengenezea website. Html Tag inakuwa katika mfano kama huu <name>  ikiwa na maana kuwa ufungo wa neno unakuwa katikati ya mabano hayo yenye pembe (angle brackets). Soma somo lote ........

WEBSITE DESIGNING | Views: 1138 | Added by: Admin | Date: 10/Apr/2013 | Comments (0)

1-3 4-5