Admin | Date: Monday, 29/Jul/2013, 17:54 | Message # 1 |
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: Offline
| Kinyonga ni kiumbe aliye katika kikundi cha mijusi (mfano: Mamba, Kenge, mjusi mwenyewe) ambaye ana uwezo wa kubadilisha rangi yake na kuzungusha macho yake kwa mizunguko tofauti, tofauti na wanyama wengine kwamba macho huzunguka kwa kufuatana, Lakini kinyonga na uwezo wa kuzungusha kila jicho upande wake.
Kinyonga habadilishi rangi kwa hiari yake, tofauti na watu wanavyofikiria, ubadilikaji wa rangi hutokana na mwanga, joto na msisimko wa neva zake kutokana na njaa au uwoga. Haihusiani na sehemu ambayo kinyonga yupo.
Katika hali ya kawaida, ngozi yake iliyo rafu (rough skin) ni ya kijani iliyochanganyika na hudhurungi iliyofifia. Katika hali ya hofu na uwoga rangi yake hubadilika na kuwa kijani iliyoiva. Hubadilika rangi hiyo kuwa hudhurungi au manjano iliyofifia katika hali ya njaa, joto la chini na jua kali. Kinyonga ana rangi gani? Click Here to read this full article
|
|
| |
Juddy | Date: Monday, 29/Jul/2013, 17:56 | Message # 2 |
Sergeant
Messages: 25
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
| wooow Admin so interesting....
Never Trust 100% for first time meeting, Remember Even long finger nails can be hidden behind.
|
|
| |