[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Hivi kweli jongoo ana sumu au hana?
SalhaDate: Thursday, 25/Jul/2013, 04:52 | Message # 1
Sergeant
Messages: 23
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
siku zote nilijua kwamba jongoo ana sumu tena mbaya sana kwani nakumbuka kuna mtoto mmoja ambaye hajaanza kutembea, yaani anatambaa tu siku moja alikula jongoo na mara mdomo wake ukawa mwekundu ghafla na kuzidiwa, hata alipopelekwa hospitali akafariki, sasa cha ajabu naona kwenye Tv Show watu wanashindana kula Jongoo ndio naona ajabu kuhusu huyu mdudu, eti kunanayefahamu uhakika hasa wa huyu mdudu?
 
NadyaDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:02 | Message # 2
Sergeant
Messages: 20
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Salha, Mi ninavyofahamu siku zote jongoo huwa hana sumu, huenda huyo akawa kala kitu kingine zaidi ya jongoo na kwakuwa ni mtoto hawezi kujieleza.

Time time before time times you
 
badshahDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:16 | Message # 3
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
Jongoo wanatofautiana sana kuna wenye sumu na wasiokuwa na sumu, lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. sumu hii ina madhara madogo sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au hata kuwashwa, lakini si kwa kuingia tumboni, huko huenda ikawa sumu tena kali sana. na kama uliwaona watu kwenye Tv Show akimla basi ujue wameshafanya vipimo vya hali ya juu kuhakikisha wana usalama kwa mwanadamu, hivyo usiamini kuwa huyu hana sumu.
 
SalhaDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:18 | Message # 4
Sergeant
Messages: 23
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
Thanks a lot for your replies friends Badshah, and Nadya,
 
NadyaDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:19 | Message # 5
Sergeant
Messages: 20
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
You are  welcome Salha,

Time time before time times you
 
zulfaDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:22 | Message # 6





I like your Reply Badshah, umeeleza kitu ambacho kimenipa mwanga mzuri sana hasahasa pale kuhusu jongoo akijikunja, siku zote mimi nilidhani kuwa anajisaidia kwa uoga maana watu wengi husema jongoo ni mdudu mzembe na muoga.
 
Miss_NeeluDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:24 | Message # 7
Sergeant
Messages: 26
Awards: 0
Reputation: 1
Status: Offline
hhahahaha zulfa, umenifurahisha, ina maana kumbe ulijua uoga wa jongoo mpaka anakunya hahahahahaha
 
zulfaDate: Thursday, 25/Jul/2013, 05:25 | Message # 8





Miss_Neelu, yeah nilijua hivyo hahahaha
 
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: