Home » 2017 » October » 08

SEHEMU YA TATU

Kutoka sehemu ya pili:

Baada ya mke wa alibaba kurudisha mizani kwa mke wa kassim na kujulikana kilichotendeka huko kuwa sio nyama iliyopimwa bali ni dhahabu. “Nilijua tu hawa walikuwa na siri!, wamepata wapi hii dhahabu?” Alisema mke wa Kassim……… Endelea sehemu ya tatu:
 

Mumewe aliporudi, alimuonesha ile sarafu ya dhahabu iliyokuwa imeganda chini ya ile mizani. “Angalia mume wangu!” alisema mke wa kassim, “Mke wa Alibaba alikuja kuniazima mizani ili akapimie nyama, mimi sikumuamini nikapaka asali chini ya mizani, n ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 697 | Added by: Admin | Date: 08/Oct/2017 | Comments (5)