Home » Stories & Entertainment

SEHEMU YA NNE

Kutoka sehemu ya tatu:

Kassim alipoenda kwa ndugu yake na kumshawishi amwambie mahala alipozitoa dhahabu zile, Alibaba hatimaye alimweleza ukweli wote. Sasa Kassim amerudi kwake kujiandaa na safari ya msituni mahala ambapo pango linapatikana.

ENDELEA SEHEMU YA NNE

Asubuhi ilipofika kabla ya jua kuchomoza, Kassim alimuaga mke wake na kuelekea msituni. Alienda huko na punda kumi wenye ma ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 761 | Added by: Admin | Date: 09/Oct/2017 | Comments (3)

SEHEMU YA TATU

Kutoka sehemu ya pili:

Baada ya mke wa alibaba kurudisha mizani kwa mke wa kassim na kujulikana kilichotendeka huko kuwa sio nyama iliyopimwa bali ni dhahabu. “Nilijua tu hawa walikuwa na siri!, wamepata wapi hii dhahabu?” Alisema mke wa Kassim……… Endelea sehemu ya tatu:
 

Mumewe aliporudi, alimuonesha ile sarafu ya dhahabu iliyokuwa imeganda chini ya ile mizani. “Angalia mume wangu!” alisema mke wa kassim, “Mke wa Alibaba alikuja kuniazima mizani ili akapimie nyama, mimi sikumuamini nikapaka asali chini ya mizani, n ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 701 | Added by: Admin | Date: 08/Oct/2017 | Comments (5)

SEHEMU YA PILI

Kutoka sehemu ya kwanza:

Baada ya Alibaba kuingia pangoni na kuona mali zote zile na kujisemea moyoni kuhusu mali zile:

 Kwa kuona wingi wa mali hizi Alibaba alijifikiria moyoni kuwa sio kwa miaka michache tu, hii itakuwa ni karne na karne wezi wanapora mali za watu na kuja kuzificha humu.

 

ENDELEA SEHEMU YA PILI

“Hazina nyingi kiasi gani hiki!!” alisema Alibaba. ‘na sasa nimezip ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 822 | Added by: Admin | Date: 03/Oct/2017 | Comments (4)

ALIBABA NA WEZI 40

 

SURA YA KWANZA:

HAZINA KATIKA PANGO

Hapo zamani za kale katika mji wa persia waliishi ndugu wawili mmoja aliitwa Kasim na mwengine aliitwa Alibaba, ndugu hawa wawili walikuwa na baba yao ambae alikuwa na uwezo wa kifedha kidogo ambae alipokufa waligawana mali zake mgao sawa kwa sawa bila kumzidishia yeyote ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 888 | Added by: Admin | Date: 09/Sep/2017 | Comments (5)

« 1 2 3 4