Home » Articles » COMPUTER

Entries in category: 18
Shown entries: 4-6
Pages: « 1 2 3 4 5 6 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

TOFAUTI KATI YA WEBSITE NA BLOG

 

Tofauti kati ya Blog na Website imekuwa ikichanganya sana hasahasa kipindi hiki ambacho utasikia sana neno Blog. Lakini je umeshawahi kujiuliza kuna tofauti gani kati ya website na blog? Soma zaidi......

 

COMPUTER | Views: 1962 | Added by: Admin | Date: 27/Jul/2013 | Comments (0)

Tuumalize ubishi wa DVD V/S CD


Hakuna asiyejua leo hii kuwa DVD ni kubwa kuliko CD kwani ina uwezo wa kuhifadhi taarifa nyingi kuliko CD na ndio maana hata bei yake kuwa juu zaidi ya CD, lakini hivi karibuni sehemu tofauti nimesikia juu ya ubishi kati ya CD na DVD. Ubishi huu ni kwamba mmoja anadai ya kwamba CD ni jina la ujumla linalomaanisha DVD na VCD, na mwingine akisema kuwa DVD inajitegemea na CD inajitegemea. Hebu tuangalie hapa usahihi ni upi. Soma makala nzima

COMPUTER | Views: 3317 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 18/Jun/2013 | Comments (0)

MAANA YA HTTP (Hyper Text Transfer Protocol) na Jinsi inavyofanya kazi


Katika usomaji mzima wa mambo ya tovuti (website) utakutana na kitu hiki "http”, na mara nyingi utaona kuwa kila website lazima ianze kwa http, mfano: http://www.staryte.ucoz.com/ lakini unaweza kujiuliza hii HTTP ni nini? Na kwanini?

Http ina maana ya Hyper Text Transfer Protocal yaani ni ule mfumo wa usafirishaji wa maandishi pamoja na picha katika websites,  na kazi yake kubwa ni kuangalia jinsi gani maandishi na picha yalivyotengenezwa na kuhakikisha inayasambaza kama ilivyo.

Mfano, unapoandika website katika browser ili uisome, hapo itatuma command ya HTTP ili ikachukue hiyo page uliyoiomba kuisoma kutoka kwa server yake na kukuletea katika browser yako kama ilivyo.

Hivyo hiyo ndiyo maana ya HTTP. Ila unaweza kujiuliza, mbona hatuandiki http tukiandika website fulani? Yaani kama unataka kusoma website kama google.com huna haja ya kuandika http lakini website hiyo itafunguka, je? Hiyo ina maana http haifanyi kazi hapo? Soma makala nzima.........


COMPUTER | Views: 1473 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 17/Jun/2013 | Comments (0)