Home » Articles » COMPUTER

Entries in category: 18
Shown entries: 1-3
Pages: 1 2 3 4 5 6 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

NAHITAJI KUWA NA TOVUTI (WEBSITE) YANGU MWENYEWE NIFANYEJE?


Inawezekana kuwa hili ni swali ambalo unalitafutia jibu siku zote. Umeona website nyingi sana zikiwa na maudhui mbalimbali ambayo yamekuvutia. Nyingine zikiwa na rangi mbalimbali zenye mvuto. Lakini ni nani hasa anayemiliki website hizo? Au je na wewe unaweza kuwa na website yako? Fuatilia makala hii nawe upate ujuzi juu ya hili na pengine siku chache zijazo na wewe unaweza kuwa na ya kwako. Read more .............


COMPUTER | Views: 3330 | Author: yahya Mohamed | Added by: Admin | Date: 26/Dec/2013 | Comments (0)

JINSI YA KU-LOCK FOLDER BILA YA PROGRAM

 

 

 

Katika upande mwingine leo tutaangalia njia rahisi ya kuficha au ku-lock folder ili lisiweze kufikiwa na watumiaji wa kompyuta yako.

 

Njia hii ni rahisi sana kwani haihitaji kutafuta program ya kukusaidia kulock folder lako, unachohitaji ni wewe tu kuwa katika computer yako basi. Read more ........

COMPUTER | Views: 3228 | Added by: Admin | Date: 23/Aug/2013 | Comments (0)

EASIEST WAY TO DETECT COPYRIGHT INFRINGEMENT

 

This time I want to show you how you can detect copyright infringement of your articles from your website or blog.

 

Some people are very much lazy and don’t write their own articles in order to publish fresh posts to their blog, this may be due to lack of certain information or idea about what a one should write. Read More ........

COMPUTER | Views: 4778 | Added by: Admin | Date: 21/Aug/2013 | Comments (2)