Home » Articles » COMPUTER

Entries in category: 18
Shown entries: 10-12
Pages: « 1 2 3 4 5 6 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

TOFAUTI YA INBOX NA SPAM/JUNK KATIKA EMAILS NA JINSI YA KUZITUMIA


Asilimia kubwa tunaotumia internet tumefungua email (barua pepe), isipokuwa kwa wachache tu ndio hawana email. Kuwa na email ni sawa na kuwa na namba ya simu kisha ukaitumia kwa mawasiliano, email hutusaidia katika shughuli nyingi sana na kubwa tunazozifanya kwa njia ya mtandao wa internet kama vile kutuma na kupokea ujumbe, ujumbe huu unaweza kuwa umeambatanishwa na faili kama vile picha, sauti, video n.k ingawa unaruhusiwa kutuma faili lisilozidi megabyte 25 kwa kila message unayotuma.

 

Katika makala hii nimepanga kuzungumzia hasa upokeaji wa email kutoka katika vyanzo au emails tofauti. Kama nilivyozungumza hapo mwanzo kuwa email haina tofauti na kuwa na namba ya simu kisha ukaitumia katika kutumiana ujumbe, katika email kuna mafaili yapatayo kama matano hivi, huenda yakazidi kutokana na aina ya email unayotumia, lakini haya matano ni lazima uyakute humu. Tuangalie faili moja moja na kazi yake kwa ufupi:-

COMPUTER | Views: 1524 | Added by: Admin | Date: 23/Mar/2013 | Comments (0)


JINSI YA KUIFANYA COMPUTER YAKO KUWA NA ULINZI MZURI

Katika upande huu tutaangalia jinsi gani unaweza kudumu na system yako ikiwa inafanya kazi kwa ufanisi hali ya kukufurahisha. Mara nyingi compyuta ambazo hazina ulinzi hufanya kazi kwa tabu sana na hata kumkatisha tamaa mtumiaji na hali ya kuwa computer hiyo ina ukubwa mzuri wa RAM na Processor yake ina speed ya kuridhisha. Hali hii hutokea endapo system yako imevamiwa na program zinazotengenezwa ili kuharibu mfumo mzima wa utendaji kazi wa computer. zifuatazo ni njia nzuri kabisa za kuondokana na tatizo hili.

Angalia kama una antivirus katika kompyuta yako. Kompyuta nyingi (Desktop na Laptops) huja pamoja na Antivirus pamoja. Hata hivyo, kuna wakati inawezekana ulinzi ukawa hautoshelezi, hivyo kulazimika kulipia huduma ya Antivirus ambazo zinakusaidia kulinda kompyuta yako. Antivirus ambayo ni nzuri na ni ya bure ni AVG (AVG free Edition), ambayo unaweza kuidownload katika tovuti ya www.download.com.


COMPUTER | Views: 3214 | Added by: Admin | Date: 22/Mar/2013 | Comments (0)

"PASSWORD HINT”

NJIA RAHISI YA KUKUMBUKA PASSWORD YAKO KATIKA USER ACCOUNTS


Sote tunajua kuwa password ni neno lolote au mchanganyiko wa herufi pamoja na namba unaotumiwa na mwenye account kutumia account yake kwa usalama zaidi.

 

Katika windows unaweza kutengeneza neno lako la siri (password), ili kwamba ni wewe tu ndiye unayeweza kutumia kompyuta yako, na neno hilo ni wewe tu ndiye unalolifahamu na sio mwingine yeyote.

COMPUTER | Views: 3076 | Added by: Admin | Date: 13/Mar/2013 | Comments (0)