Home » Articles » COMPUTER

Entries in category: 18
Shown entries: 7-9
Pages: « 1 2 3 4 5 6 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

Hatua Rahisi Za Kufuata ili Utengeneze Website Yenye Mafanikio


Kutengeneza tovuti nzuri ni sehemu muhimu katika kuifanya iwe na watembeleaji wengi. Imekuwa ni vigumu watu kufahamu jinsi gani watengeneze tovuti zinazoweza kuwa nzuri na vigezo vinavyovutia na kuenda na wakati. Sasa uko katika njia nzuri ya kukuelewesha suala hili. Makala hii inakupa dondoo safi kabisa kuhusu utengenezaji wa tovuti. Soma makala nzima...

COMPUTER | Views: 987 | Added by: Admin | Date: 31/May/2013 | Comments (0)

NI GRAPHIC DESIGNER LAKINI HUWEZI KUFANYA GRAPHIC DESIGNING

Kwanini waliomaliza kusomea Graphic Designing hushindwa kufanyia kazi?

 

Graphic Designing ni elimu inayotolewa kwa mtu kwa mafunzo ya kuchora, kuandika, kupamba, ketengeneza picha mbalimbali kwa ujuzi wa computer. Ujuzi huu hutumia msaada wa program maalum ambazo hutumika katika kufanya graphic designing.

 

Michoro yenye mapambo, matangazo, maandishi yanayovutia na picha mbalimbali unazoziona ndani na nje ya internet ni matokeo ya kazi hii ya graphic designing. Kazi hii imekuwa ni bora kwa ulimwengu wa sasa wa kiteknolojia kwani watu huhitaji sana vijana wenye ujuzi wa hii, kuwatengenezea matangazo, michoro na mambo mengi ya kuvutia katika kutangaza biashara zao.

 

Hata wale wanaotengeneza kadi za harusi au za mchango na nyinginezo hutumia ujuzi huu. Soma makala hii nzima unufaike na hili....

COMPUTER | Views: 3399 | Added by: Admin | Date: 22/May/2013 | Comments (2)

JINSI YA KUFANYA WINDOWS YAKO IWAKE KWA HARAKA.

Kwa watumiaji wa Windows XP tu.

 

Fungua Notepad (start >> all programs >> accessories >> notepad) kisha andika maneno haya ndani ya notepad  "del c:\windows\prefetch\ntosboot-*.* /q bila kuweka hizo funga semi na fungua semi. Baada ya hapo save as ntosboot.bat na hakikisha chumba cha chini cha save as type umeweka all files na hakikisha unaisave katika local disk C. angalia picha hapo chini. soma zaidi ...............

COMPUTER | Views: 1172 | Added by: Admin | Date: 28/Mar/2013 | Comments (0)