Home » Articles » EDUCATION

Entries in category: 15
Shown entries: 4-6
Pages: « 1 2 3 4 5 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

VIPI KAMA KUNGEKUWA NA CREAM INAYOITWA PHOTOSHOP?


Katika ukuaji wa teknolojia, sasa hakuna mgonjwa wa ngozi hata mmoja katika picha zake labda kwa yule asiyejua kutumia kompyuta au hata kufahamu kinachoendelea. Ukweli ni kwamba ni asilimia ndogo sana ya watu hawana chunusi katika nyuso zao. na hata yule ambaye hana basi lazima hatofanana ngozi yake na mtoto mchanga hata kuitwa baby face.

Nani anataka apige picha atishe? Hakuna hata mmoja, kila mtu anataka kupiga picha atokee hali ya kuwa amependeza tena sana. Zamani ilikuwa kazi ngumu sana kupiga picha za urembo ili kumtumia mtu katika matangazo mbalimbali. Lakini sasa ni rahisi sana. Soma zaidi ............

EDUCATION | Views: 1499 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 01/Jul/2013 | Comments (0)

MAANA YA KUONYESHA V KWA KUTUMIA VIDOLE (V – Sign)


 


Alama ya V (V – Sign) ni ishara ya mkono kuonyesha vidole viwili cha kati na cha pili baada ya gumba hali ya kuwa vingine vimekunjwa. Hii ina maana mbalimbali kutegemea na utamaduni wa sehemu fulani na jinsi inavyoonyeshwa. Mara nyingi sana huashiria herufi "V” ikiwa ni kifupi cha neno "Victory” yaani Ushindi.

 

Lakini pia alama hii huleta maana tofauti kutokana na aina Fulani ya uonyeshaji kama ifuatavyo:

Soma makala hii nzima............



EDUCATION | Views: 2568 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 08/Jun/2013 | Comments (0)

MAKALA MUHIMU KWA ALIYEFELI MTIHANI

Kila mwanzo wa kufeli ndio hatua ya kujipanga vema

 

Ni masikitiko makubwa ambayo umeyapata kwa kuanguka kimasomo. Wengi wamelia sana, wengi wamepata mshtuko na wengine kudiriki hata kujiua. Kumbuka kuwa kila linalotokea limeshaandikwa kuwa litatokea na hivyo hakuna awezaye kubadilisha majaliwa ya mungu.

 

Sasa hebu angalia ni hali gani unayosikia ndani ya moyo wako kwa kuanguka katika mitihani yako, je unapaswa kulaumiwa? Kwa upande huu haipaswi kulaumiwa kwani ndiyo unazidi kupandikiza ugonjwa juu ya ugonjwa na anayekulaumu anaweza kukuletea athari za kisaikolojia. Soma makala hii yote....

EDUCATION | Views: 1206 | Added by: Admin | Date: 01/Jun/2013 | Comments (0)