Home » Articles » EDUCATION

Entries in category: 15
Shown entries: 10-12
Pages: « 1 2 3 4 5 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views
UKWELI KUHUSU NYOKA MWENYE VICHWA VIWILI
Je, Nyoka hawa wapo au ni hadithi tu?



Ukweli ni kwamba nyoka mwenye vichwa viwili yupo, lakini ni wachache sana. Hawa nyoka ni kama mapacha walioungana au unaweza kusema kuwa ni nyoka mmoja mzima lakini ana vichwa viwili vilivyokaa mbadala yaani nyuma na mbele. Nyoka hawa sana sana unaweza kuwaona katika mbuga za wanyama au sehemu za kutembelea kiutalii zenye maonyesho ya wanyama wa aina mbalimbali. Baadhi ya sehemu za makumbusho wamehifadhi masalia au sampuli ya nyoka hawa wenye vichwa viwili.

Nyoka wenye vichwa viwili hawana matarajio ya kuishi muda mrefu, hasa hasa porini. Kila kichwa kina ubongo na siku zote vinaendesha mwili mmoja, na vichwa hivyo viwili haviwezi kuwasiliana hali ambayo husababisha kujongea kwa tabu kwani kila kichwa kinaweza kujaribu kutembea kulekea muelekeo tofauti mpaka pale kimoja kitakapokubali kuacha mvutano huu na kuvutwa na mwenzake. Na jambo ambalo ni baya zaidi ni pale kila kichwa kinapotaka kula ingawa mwili ni mmoja hivyo hukuta katika mazingira ya kugombania chakula. Soma makala nzima........


EDUCATION | Views: 2274 | Added by: Admin | Date: 08/May/2013 | Comments (0)

FORCES THAT AFFECT THE EARTH FROM WITHIN INTERNAL FORCES

 

The crust of the earth consists of the solid rocks, it subjected to internal forces which cause the earth to move either vertically or horizontally.

The movement can be quite or violent and result in the formation of different physical features.

 

CAUSES OF THE EARTH MOVEMENT WITHIN THE EARTH’S SURFACE.

i.                     Different in temperature within the earth.

ii.                   Different in density.

iii.                  Chemical composition of rock.

EDUCATION | Views: 2328 | Added by: Admin | Date: 13/Apr/2013 | Comments (0)

Kwanini sayari ya Pluto sio sayari tena?

Sayari ya pluto ilikuwa ni sayari ya tisa katika mfumo wa jua (Solar System), lakini sasa si hivyo. Tuna sayari nane tu.

Kwanini?

Nilipokuwa shule tulijifunza kuwa sayari ziko tisa, Mercury, Venus, the Earth, Mars, Jupiter, Saturn, Uranus, Neptune and Pluto. Lakini sasa si hivyo tuna sayari chache.

Neno Sayari (Planet) linatokana na neno la kigiriki "Planette” likiwa na maana "nyota ya ajabu” maelfu ya miaka iliyopita wagiriki walipoangalia angani, waliona vinukta nukta vyenye kung’aa angani vingine vikiwa vinatembea (Nyota). Si wagiriki tu ndio walioona hili hata wengine waliona kitu kama hiki. Kila kilichotembea kiliitwa sayari, hivyo wazee wa kigiriki, mwezi, hata jua pia liliitwa sayari. Lakini baadaye ikawa sio hivyo kwani Astronomers waliona kuwa Jua ni Nyota na Mwezi ni Mwezi na si kama ilivyokuwa zamani. Soma zaidi........

EDUCATION | Views: 4646 | Added by: Admin | Date: 13/Apr/2013 | Comments (0)

1-3 4-6 7-9 10-12 13-15