Home » Articles » EDUCATION

Entries in category: 15
Shown entries: 7-9
Pages: « 1 2 3 4 5 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

MBINU MPYA ZA UTAPELI NDANI YA MTANDAO

 

Baada ya mbinu za kizamani za kutapeli ndani ya mtandao wa internet, sasa kuna mbinu zilizoboreshwa zaidi kuhakikisha unakosa imani ya kuwa unaweza kutapeliwa. Imekuwa ni rahisi sana kuamini kuwa email address yako inaweza kujulikana popote pale na hivyo kuona kuwa ni rahisi hata mtu kukufikia kimawasiliano hata awe sehemu gani duniani.

 

Kama tulivyoelezea mbinu za utapeli hapo awali katika makala zetu zilizopita, hivi sasa mbinu hizi zimeboreshwa zaidi kuhakikisha mtu anapunguza imani za kutapeliwa. Hii inatokana na sisi kujisahau sana, na kama tukiwa makini basi mbinu hii mpya haiwezi kufanikiwa kwako. Soma zaidi........

 

EDUCATION | Views: 1190 | Added by: Admin | Date: 23/May/2013 | Comments (0)

Hivi Unaifahamu Hasa Sauti Yako?

Jinsi unavyojisikia sivyo watu wanavyokusikia


Unaweza kuwa muongeaji sana, tena muigizaji mzuri tu ambaye ni chipukizi na bado hujafanya shooting hata moja kwasababu uko katika mazoezi fulani ya kuigiza, kuimba n.k.

Sasa umeshafanya video yako, umeshaimba na wakati umekaa kusikiliza unaanza kusema aaaakhh!! Inamaana hii ndiyo sauti yangu?

Ndiyo, ni bahati mbaya – na ndio kila mtu anaisikia hivyohivyo, lakini pia unaweza kujiuliza "kwanini sauti hii yangu mwenyewe leo hii siijui?”

Kumbuka kuwa sauti huingia katika masikio kwa njia kuu mbili: kwa njia ya hewa na kwa njia ya mfupa.

Sauti inayopita kwa njia ya hewa kama vile kusikiliza sauti iliyorekodiwa na mtu akiongea au kuimba, kwa mfano – inasambazwa kupitia katika ngoma ya sikio, kisha inatetemesha vifupa vitatu nyundo, fuawe na kikuku (malleus, incus and stapes)  na kisha humalizikia katika komboli (cochlea, sehemu iliyo kama spring, ina mizunguka ya nusu duara). Hii cochlea ambayo imejaa kimiminika kwa ndani, hubadilisha mitetemeko hii ya sauti kuelekea katika mfumo wa neva ambao unaenda moja kwa moja kutafsiriwa katika ubongo. Hii ndio njia ya kwanza ambayo sauti hupita. Soma makala hii nzima......


EDUCATION | Views: 1207 | Added by: Admin | Date: 21/May/2013 | Comments (0)

EFFECTS OF MOBILE PHONES DUE TO IMPROPER USE.

 

Handset or Mobile phone is important device for communication in societies but if it is used improperly can bring negative effect badly in any society. In many countries, especially third world countries mobile phones started increasing during 90’s that only few people had the ability to posses due to the price of such device to be high but due to increasing in globalization and widening of countries’ economy the number of people who posses mobile phones was increasing day after day while governments were allowing different companies to invest in mobile phones and communication network. Till now there is large competition in the market of mobile phones such as Nokia, Samsung, Motorola, Siemens, LG and Communication networks such as Vodacom, Airtel, Tigo, Hayak etc due to millions of customers.

EDUCATION | Views: 2949 | Added by: Admin | Date: 14/May/2013 | Comments (1)