Home » Articles » HEALTH |
Entries in category: 34 Shown entries: 4-6 |
Pages: « 1 2 3 4 ... 11 12 » |
Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views
MADAWA YA KULEVYA Madawa ya kulevya ni vitu ambavyo
hutumiwa kwa njia ya kunywa, kula au hata kujichoma ambavyo baada ya kutumia
hubadili akili au fikra za mtumiaji kuwa tofauti ba akili ya kawaida. Madawa
haya hayatumiwi kwa lengo la kuleta tiba au manufaa katika mwili bali hutumiwa
kwa lengo la kujistarehesha tu. Mfano wa madawa ya kulevya ni kama vile bangi,
mirungi, pombe, cocaine na kadhalika. Read more .... |
FAHAMU UMUHIMU WA SAIKOLOJIA YA ELIMU Unaweza kuwa umeshawahi kusikia
neno SAIKOLOJIA mara nyingi sana, Lakini hebu tufafanue zaidi kwa yule ambaye
hafahamu maana yake. Kwa kifupi kwanza hili neno ambalo asili yake ni kigiriki
likiwa na maana ya kwamba, saiko ni
mambo yanayohusu akili au ubongo, na lojia
ni mambo yanayohusu elimu. Hivyo kwa ujumla tunaweza kusema kwamba saikolojia
ni elimu inayohusu mambo ya akili au ubongo. Read more ..... |
HEALTH |
Views: 12224 |
Author: Yahyou M. Yahya |
Added by: Admin |
Date: 29/Sep/2013
| Comments (0)
|
Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na nini kisababishi? Ingawa inaweza kuleta maana hiyo Lakini kufa kwa moyo haina maana kwamba moyo umeshindwa kufanya kazi au umefeli. Kufeli kwa moyo ni hali mbaya sana ambayo moyo hausukumi damu ipasavyo katika mwili. Upande wa kulia wa mgonjwa au kushoto au hata kotekote kunaweza kuathirika. Dalili zake hutegemea ni upande upi umeathirika na ni kwa kiasi gani kufeli kwa moyo kumejitokeza. Read more ....... |