| Home » Articles » HEALTH |
| Entries in category: 34 Shown entries: 7-9 |
Pages: « 1 2 3 4 5 ... 11 12 » |
Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views
JINSI YA KUEPUKANA NA CHUNUSI KWA HARAKA ZAIDI |
|
MAHITAJI NA KAZI YA SUKARI MWILINI
Sukari ni moja katika familia ya Carbohydrates. Carbohydrates ndio chanzo kikuu cha nguvu katika miili yetu. Hata hivyo, sio kwamba carbohydrates zote zinaweza kunyonywa au kutumiwa na miili yetu kama ilivyo. Kabla ya kuendelea hebu tuangalie aina za carbohydrates. Carbohydrates ina aina kuu tatu, Monosaccharides, Disaccharides na Polysaccharides. Monosaccharides kwa jina lingine
hujulikana kama sukari rahisi (simple sugar) ambayo humeng’enywa moja kwa moja
bila ya kuvunjwa vunjwa katika mfumo wa mmeng’enyo.Read More... |
|
NJIA ZA KUTUMIA ILI UACHE KUVUTA SIGARA Tumeangalia madhara ya uvutaji wa sigara katika makala iliyopita, hebu tuangalie sasa ni
njia zipi ambazo mtu anaweza kuzitumia ili aweze kuacha sigara. Lakini jambo la
kufata kwanza kabla ya kufuata njia hizi ni kwamba uwe na nia hasa ya kuacha, Lakini kinyume na
hapo hutaweza kufuata hatua hizi. Read More... |


