Home » Articles » HEALTH

Entries in category: 34
Shown entries: 1-3
Pages: 1 2 3 ... 11 12 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

WASIA WA MATABIBU(MADAKTARI)


Kuna mambo mbalimbali ambayo watu wengi sana katika jamii yetu hii ya leo hawayafahamu, au huyachukulia ni mambo ya kawaida sana na kumbe yana madhara kiafya. Katika makala ya leo hii nimejaribu kupitia sehemu mbalimbali ili kuwaletea kile kilicho bora kama ushauri wa kufuata ili kuboresha afya yako,  na makala yangu hii ya leo nimeamua kuwaandikia wasia wa matatibu mbalimbali katika kulinda afya yako. Hebu tuangalie ni wasia upi huo? Bofya hapa kusoma makala nzima .....


HEALTH | Views: 1780 | Author: yahya Mohamed | Added by: Admin | Date: 29/Dec/2013 | Comments (0)

SABABU YA MVI ZA UJANA


Kila mtu hupenda aonekane vizuri na hali ya kupendeza sana. Kitu ambacho asilimia kubwa ya watu hivi sasa wanakiheshimu kwa hali ya juu ni nywele na ndio sababu kubwa ya urembo wa mtu awe mwanaume au mwanamke na ndio maana utaona wengi huchonga staili mbalimbali ya nywele zao kama vile panki, viduku na staili nyinginezo na huku wakiweka piko au superblack katika nywele zao ili ziwe na weusi wenye kung’aa na kuvutia.Soma zaidi ..........


HEALTH | Views: 6730 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 27/Nov/2013 | Comments (2)

HARUFU MBAYA YA MDOMO SABABU NA UTATUZI WAKE.

 

Unaweza kujiuliza mbona ukiongea na mtu anakupa nafasi fulani mbali kidogo? Hawezi kuongea na wewe uso kwa uso? Ila ukinyamaza naye husogea kidogo na muonekano wake wa uso unatofautiana pale unapoongea na unaponyamaza? Ukiongea uso wake hubadilika. Kwakweli mdomo ni kitu muhimu sana katika mazungumzo na kinatakiwa kichungwe kwa hali ya juu ili kujenga uhusiano mzuri baina ya mzungumzaji na msikilizaji. Read more .........

 

HEALTH | Views: 2115 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 12/Oct/2013 | Comments (0)

1-3 4-6 7-9 ... 31-33 34-34