Home » Articles » HEALTH

Entries in category: 34
Shown entries: 13-15
Pages: « 1 2 3 4 5 6 7 ... 11 12 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

UKOSEFU WA USINGIZI

Hali zote mbili huweza kukukosesha usingizi iwe shida au raha iliyozidi


Ukosefu wa usingizi ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu wengi hivi sasa, unaweza kujiandalia mazingira ya kulala ili upumzishe akili yako na kujiandaa na siku mpya lakini hali inakuwa tofauti pale unapojiweka kitandani ili upate usingizi. Soma makala nzima.........

 

HEALTH | Views: 1189 | Added by: Admin | Date: 02/Jun/2013 | Comments (0)

YAJUE MANUFAA YA KABICHI KIAFYA


 

Kabichi ni zao linalolimwa mahala pengi sana hapa duniani. Mboga hii imekuwa ikiwekwa katika hadhi ya chini katika mboga, na hata watu huitumia pale tu wanapoona hakuna jinsi ya kupata mboga ya aina nyingine. Na hivyo utaona ikitumika katika sehemu za jumuiya kama vile shule, magerezani na vyuoni kwani gharama yake ni ndogo hivyo huweza kuhimili hali ya kuinunua kwa matumizi ya watu wengi.

 

Mboga hii ina manufaa mengi sana mwilini lakini iwe ni mpya ya kijani/nyekundu au hata zambarau na siyo ile iliyokaa sana sokoni hadi kusinyaa, hiyo haina manufaa. Mboga hii ina faida zifuatazo: Soma makala yote...

HEALTH | Views: 5671 | Added by: Admin | Date: 29/May/2013 | Comments (0)

FAIDA NA MADHARA YA KULA PILIPILI MANGA

 

Pilipili manga ni mbegu ndogondogo zenye umbo la mviringo zenye rangi nyeusi.mbegu hizi hutoa ladha ya muwasho mfano kama pilipili na kutumika sana majumbani hasa upande wa jikoni, wapo wanaotumia kiungo hiki kikiwa kizima au kimesagwa inategemea na mtumiaji anavyopendelea.

 

Wanawake wengi wa pwani hutumika pilipili manga  katika vyakula ili kunogesha na kukipa ladha iliyo nzuri chakula, kitoweo hata kinywaji. Pia wapo wanaotumia pilipili manga kuramba endapo watahisi kifua kinawabana. Licha ya kuwa pilipili manga si dawa ya kifua ila kwa mazoea tumeipa nafasi pilipili manga kuwa ina uwezo wa kutibu kifua kama ifanyavyo tangawizi. Soma zaidi .....

HEALTH | Views: 26964 | Added by: Admin | Date: 27/May/2013 | Comments (0)