Home » Articles » HEALTH

Entries in category: 34
Shown entries: 16-18
Pages: « 1 2 ... 4 5 6 7 8 ... 11 12 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

IATU VYENYE VISIGINO VIREFU

Sababu ya kwanini usivae viatu hivi

 

Kuna sababu za msingi kabisa za kuacha kuvaa viatu vya visigino virefu au kama si hivyo bali ni kupunguza muda wa kuvivaa. Hakika vinaonekana vizuri na kuvutia na wanawake wengi hupenda sana. Hata hivyo, haiwi vema kulazimisha miguu yako kunyanyuka inchi 4 mpaka 5 muda wote. Kama unafanya hivi basi utakuja kuona matatizo yake baadaye. Hizi ni baadhi ya sababu za msingi kabisa za kuacha kuvaa viatu hivi. Soma makala nzima...

HEALTH | Views: 1642 | Added by: Admin | Date: 11/May/2013 | Comments (0)

Vinavyoweza kusababisha PUMU, Fahamu Njia bora ya kujikinga na Kisukari

 

JIHADHARI NA VYENYE KUSABABISHA PUMU:

 

  1. Manyoya ya wanyama kama vile paka, Mbwa, N.k.
  2. Sigara, ile hali ya kuvuta na kutoa moshi ndani ya mapafu.
  3. Moshi, kama vile moshi wa kuni au wa takataka zinapochomwa.
  4. Vumbi, kama vile la kitanda au mto unapoukung’uta au hata unapofagia.
  5. harufu kali za Spray kama dawa za mbu N.K.
  6. mauwa yenye harufu kali kama vile mlangilangi, viluwa, yasmini n.k
  7. Hali ya hewa (weather)
  8. manukato au pafyum zenye harufu kali kama vile shampoo, sabuni, lotion N.K.
  9. kukimbia sana hasa kwa kwenda dhidi ya muelekeo wa upepo (against wind direction)

 

Pumu huweza kumshika mtu ukubwani na hata uzeeni huweza ikakushambulia. Soma Makala nzima....

HEALTH | Views: 1170 | Added by: Admin | Date: 06/May/2013 | Comments (0)

BAADHI YA MARADHI YANAYOWEZA KUONDOKA KWA KUTUMIA KITUNGUU THAUMU.


Uziwi (kutosikia)

Kuna tatizo hili kwa baadhi ya watu kuwa na uwezo mdogo sana wa kusikia au kutosikia kabisa ingawa sio viziwi wala hawajazaliwa na tatizo hili bali ni hali iliyowatokea ukubwani. Ponda tembe saba za thaumu kasha utie katika mafuta ya zeti (Olive Oil) kisha uweke juu ya moto mdogo, mafuta yakishapata moto (sio ya kuunguza) tia sikioni kadiri ya matone machache kwa kutumia pamba safi, usitoe mpaka asubuhi, na utatia siku moja na ya pili usitie fanya hivyo hivyo mpaka utapata nafuu... Read More..

HEALTH | Views: 3785 | Added by: Admin | Date: 01/May/2013 | Comments (0)