Home » Articles » HEALTH

Entries in category: 34
Shown entries: 19-21
Pages: « 1 2 ... 5 6 7 8 9 ... 11 12 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

KITUNGUU HUPONYA YALIYOSHINDIKANA

maradhi mengi hutibika kwa kutumia juisi ya kitunguu.


Katika makala ya leo nawaeleza faida za juisi ya kitunguu maji katika mwili wako, ikiwemo uwezo wake wa kuzuia na kutibu magonjwa sugu na yaliyoshindikana kwa kutumia dawa za hospitali.

 

Tunapaswa kutambua kwamba viungo vingi tunavyotumia jikoni kwenye vyakula vyetu kila siku vina uwezo mkubwa wa kuponya magonjwa yanayotusumbua. sina shaka kama kuna mtu ambaye hakijui kitunguu, nyanya au kitunguu saumu. Kitunguu maji ni kiungo cha mboga, ambacho aghalabu hutumika katika mapishi ili kuongeza ladha katika chakula na wakati mwingine hutumika kutengenezea kachumbari kwa kutokujua umuhimu wake mwilini.

HEALTH | Views: 2977 | Added by: Admin | Date: 08/Apr/2013 | Comments (0)

UMUHIMU MKUBWA WA KOMAMANGA (POMEGRANATE) JUU YA MARADHI YA KANSA

Komamanga huzuia kansa ya matiti isitambae


Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini.

 

Uchunguzi huo uliochapishwa katika jarada la Utafiti la kuzuia Kansa umeonyesha kwamba, kemikali ziitwazo ellegitannins zinazopatikana kwa wingi kwenye komamanga, zinaweza kuzuia kimeng’enyo (enzyme) aina ya aromatase, suala ambalo huzuia kukua kwa Homoni ya estrogen inayopatikana katika kansa ya matiti. Soma zaidi.........

HEALTH | Views: 4301 | Added by: Admin | Date: 06/Apr/2013 | Comments (0)

Dondoo 5 kwa ngozi yenye Afya.

Uangalizi mzuri wa Ngozi — ikiwemo kulinda ngozi na Mwanga wa Jua pamoja na kuiosha kwa utaratibu — itafanya ngozi yako kuwa na Afya na kuishi kwa ubora miaka yote.

Je? Hauna muda wa kuitunza ngozi yako? Jitahidi kufata misingi bora. Utunzaji wa ngozi yako na kujichagulia mfumo mzuri wa Afya katika maisha yako kunaweza kukusaidia kuchelewesha mchakato wa ngozi yako kuzeeka mapema na pia kulinda matatizo mbalimbali ya ngozi. Fuata hizi Dondoo tano (5).

HEALTH | Views: 3424 | Added by: Admin | Date: 27/Mar/2013 | Comments (2)